top of page

Karibu
Jicho la Elimu ni mradi wa kielimu unaolenga kuonyesha hali halisi ya elimu kupitia video documentary, mahojiano, na simulizi za kweli kutoka katika mazingira ya kujifunzia.
Tufuatilie zaidi katika ukurasa huu wa YouTube, Jicho la Elimu
bottom of page
